Zoba Lyrics

Ndani ya moyo wangu

Namuona yeye kimasomaso

Wenye wivu mukome

Mtaambulia matandu

Solo nala na yeye

Na mkisema ananichuna

Ntampa mpaka BOT

Kama penzi taaluma

Basi ye ana degree

Kwake siwezi meza azuma

Kitu swafi OG

Midomo itawanuka kwa kununa

Mngetafuna hata bigijii

Aaaah ye ni wangu mimi

Mimi ni wake yeye

Wengine sasa wa nini

Staki nichezewe

Yeye ni wangu mimi

Mimi ji wake yeye

Wengine sa wa nini

Staki nichezewe

Mi kwake zoba

Mimi kwake zoba

Mimi kwake jinga

Mimu kwake jinga

Mi kwake zoba

Mimu kwake zoba

Mimi kwake jinga

Mimu kwake jinga

Mmh vyandani ni siri

Kanikataza nsiseme

Ila ningewaambia

Raha anazonipa

Kunako alfajiri

Anaparama mnazi

Au geme

Huku tunasinzia

Mpaka tunafika

Alafu darling nikupe siri

Mi kwako chali

Moyo na mwili

Kama mie gari

We ndio tahiri

Usije ukaenda mbali

Utanihadhiri

Amina Amina

Na iwe kheri Amina

Daima daima

Nkuvishe shera na hina

Amina Amina

Na iwe kheri Amina

Daima daima

Nkuvishe shera na hina

Yeye ni wangu mimi

Mimi ji wake yeye

Wengine sa wa nini

Staki nichezewe

Yeye ni wangu mimi

Mimi ji wake yeye

Wengine sa wa nini

Staki nichezewe

Mi kwake zoba

Mimi kwake zoba

Mimi kwake jinga

Mimu kwake jinga

Mi kwake zoba

Mimu kwake zoba

Mimi kwake jinga

Mimu kwake jinga

Listen & Share (Stream D Voice – Zoba)

Download