Raha Lyrics
Embe parachichi ndo utamu wa penzi lako
Mmmmmh na kwangu hauachiki
Mmmmh na wataniua sitoki kwako
Mmmmh nishakuvesha taji
Bingwa wa kazi yako unaipatia
Mmmh na ninapokosea we ndo judge
Nifunge hata maisha nitakutumikia
Mambo pikiji pikiji twajisosomola
Penzi si la kienyeji viwango vya dola
Mnotuma vimeseji mnataka kunipora
Ananionesha baby mjue nawachora
Oooh eti nikikuona
Oooh naona raha mbona
Oooh eti nikikuona
Oooh naona raha mbona
Niliishe chukuchuku ya tunguri paja
Hesabu za mwili unirudishe na shule ada
Utaanza na nini kula ndo ule labda
We sema mimi nisasambule chapchap
Oooh moyo nakupa moyo
Baby ooh moyo pokea moyo
Aaaaaah oooh moyo nakupa moyo
Baby oooh moyo pokea moyo
Mambo pikiji pikiji twajisosomola
Penzi si la kienyeji viwango vya dola
Mnotuma vimeseji mnataka kunipora
Ananionesha baby mjue nawachora
Oooh Aaah eti nikikuona
Oooh Aaah naona raha mbona
Oooh Aaah eti nikikuona
Oooh Aaah naona raha mbona
Leave a Reply